
Side Makini Blog
June 18, 2025 at 01:08 PM
Mbunge wa Nzega Vijijini, Dkt. Hamisi Kigwangalla, amemtaka Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba kuendelea kukopa iwapo mikopo hiyo inaleta maendeleo kwa wananchi.
🗣️ “Tulikopa tukajenga mradi wa maji Ziwa Viktoria, kutoka 21% hadi 90% ya upatikanaji wa maji – hiyo ni thamani halisi ya deni!”
💧 Akitolea mfano wa vijijini Nzega Puge, Kigwangalla asema alichimba visima mara 3 bila mafanikio hadi deni la serikali lilipoleta suluhisho la maji.
Je, ni sahihi kuendelea kukopa kwa maendeleo ya kijamii?
💬 Tuambie maoni yako!
#sidemakiniblog
