𝔗𝔰𝔥𝔞𝔩𝔞 𝔗𝔳
𝔗𝔰𝔥𝔞𝔩𝔞 𝔗𝔳
May 30, 2025 at 07:34 PM
Tuambie unapoenda tukupeleke na MERCEDES BENZ. Hii ni kwa bei Ganda la ndizi, 45,000 unaenda Hadi Arusha, wanaita R-Chuga, tokea jiji la kibiashara Dar! Lakini bwana wee, ndani maunyama kama yote.. 1. Onboard DSTV 2. Free drinks and bites 3. 5G+ Wi-Fi 4. Full A/C 5. Na Choo ndani (hakuna chimba dawa porini) 6. Siti sofa (2*2) nene!! Legroom ya kutosha. Unasubiri nini? Twenzetu na BENZ Kila siku. #2follow👇🏽 https://whatsapp.com/channel/0029VaAHnT1KAwEfUAp7F300 Maana ufalme una Bwana! Zaburi 22:28 🌴🌊☀️
Image from 𝔗𝔰𝔥𝔞𝔩𝔞 𝔗𝔳: Tuambie unapoenda tukupeleke na MERCEDES BENZ.  Hii ni kwa bei Ganda l...
👍 🙏 3

Comments