
๐๐ฐ๐ฅ๐๐ฉ๐ ๐๐ณ
39 subscribers
About ๐๐ฐ๐ฅ๐๐ฉ๐ ๐๐ณ
A joyful heart is a good medicine Proverbs 17:22
Similar Channels
Swipe to see more
Posts

Smart and modern Haulers, For dominion belongs to the Lord. Psalms 22:28 ๐ฆ


Safari Salama na Tshala Coach! Wanafunzi wote tunapokaribia kufunga vyuo, hakikisha unasafiri kwa uhakika, usalama, na kifahari kwa kuchagua Tshala Coach! Tunatoa huduma za usafiri wa hali ya juu kwa bei nafuu kwenye ruti zifuatazo: โ Dar - Arusha โ Dar - Nairobi โ Dar - Mtwara โ Dar - Tanga โ Dar - Mombasa Kwa nini uchague Tshala Coach? โ Viti vya kisasa na vyenye nafasi โ Safari bila msongamano! ๐บ โ Wi-Fi bure โ Baki mtandaoni popote ulipo. ๐ โ USB Charging Ports โ Simu yako haitazimika njiani. โก๐ฑ โ Usalama wa hali ya juu โ Dereva wenye uzoefu na mabasi yaliyo imara. ๐จ๐ฝโโ๏ธ๐ฉ๐ปโโ๏ธ โ Muda sahihi โ Tunahakikisha unafika kwa wakati. ๐ โ Huduma ya choo safi ndani ya basi ๐ป Punguza usumbufu wa safari! Kata tiketi yako mapema na ufurahie safari yenye utulivu na starehe. (Ofa: punguzo la 10% ) Kwa maelezo zaidi au kuweka nafasi: ๐ Piga simu/Whatsapp: +255 628 957070 ๐ Tembelea ofisi zetu Magufuli bus terminal-0685399028 Shekilango-0628961885 Kigamboni-0737955643 Tshala Coach โ Safari Bora, Kila Siku! Kuwa mfuasi wetu (follower) kwenye Whatsapp channel ๐๐ฝ https://whatsapp.com/channel/0029VaAHnT1KAwEfUAp7F300


Tesla vs. Toyota: A Decade of Shocking Growth, Stunning Sales, and Market Cap Madness - Which Giant Will Reign Supreme?" From 2014 to 2024, Tesla and Toyota exhibited significant differences in car sales and market capitalization: Car Sales: Toyota consistently sold many more vehicles than Tesla, with sales figures in the millions annually. For example, in 2024, Toyota sold about 9.5 million vehicles, while Tesla's sales were around 1.79 million. This reflects Toyota's established dominance in the automobile market with a wide range of vehicle types, including hybrids and traditional internal combustion engine cars. Tesla, although selling fewer cars, focused on electric vehicles (EVs), which saw increasing demand over the decade. Tesla's approach was more niche but growing, with EV sales contributing significantly to its market presence. Market Capitalization: Tesla saw an extraordinary rise in market cap, reaching valuations that at times exceeded the combined market caps of several major car manufacturers. By 2024, Tesla's market cap was around $1.3 trillion, reflecting investor confidence in its future in the EV market and broader technology sectors like AI and autonomous driving technology. Toyota maintained a stable but comparatively lower market cap, around $237.6 billion in 2024, reflecting its established business model but less speculative growth compared to Tesla. Toyota's valuation was more aligned with traditional automotive industry metrics like sales volume and profitability. Key Differences: Business Model: Tesla's model was heavily future-oriented, banking on the shift to electric mobility, while Toyota diversified across multiple vehicle types, including a strong hybrid lineup. Innovation vs. Reliability: Tesla was seen as an innovator in electric and autonomous vehicles, whereas Toyota was known for reliability, mass production, and a broad market appeal. Market Perception: Investors viewed Tesla as a tech company rather than just an automaker, leading to a market cap that was more speculative and based on growth potential rather than current sales figures. This comparison highlights the contrast between a legacy automaker with a global presence and an emerging disruptor aiming to redefine transportation. #missionpadhne #elonmusknews #elon #elonmuskquotes #elonmuskmotivation #elonmuskfans #elonmuskquote #tesla #toyota #elonmusk #ratantata #carsales


Safari Salama na Tshala Coach! Wanafunzi wote tunapokaribia kufunga vyuo, hakikisha unasafiri kwa uhakika, usalama, na kifahari kwa kuchagua Tshala Coach! Tunatoa huduma za usafiri wa hali ya juu kwa bei nafuu kwenye ruti zifuatazo: โ Dar - Arusha โ Dar - Nairobi โ Dar - Mtwara โ Dar - Tanga โ Dar - Mombasa Kwa nini uchague Tshala Coach? โ Viti vya kisasa na vyenye nafasi โ Safari bila msongamano! ๐บ โ Wi-Fi bure โ Baki mtandaoni popote ulipo. ๐ โ USB Charging Ports โ Simu yako haitazimika njiani. โก๐ฑ โ Usalama wa hali ya juu โ Dereva wenye uzoefu na mabasi yaliyo imara. ๐จ๐ฝโโ๏ธ๐ฉ๐ปโโ๏ธ โ Muda sahihi โ Tunahakikisha unafika kwa wakati. ๐ โ Huduma ya choo safi ndani ya basi ๐ป Punguza usumbufu wa safari! Kata tiketi yako mapema na ufurahie safari yenye utulivu na starehe. (Ofa: punguzo la 10% ) Kwa maelezo zaidi au kuweka nafasi: ๐ Piga simu/Whatsapp: +255 628 957070 ๐ Tembelea ofisi zetu Magufuli bus terminal-0685399028 Shekilango-0628961885 Kigamboni-0737955643 Tshala Coach โ Safari Bora, Kila Siku! Kuwa mfuasi wetu (follower) kwenye Whatsapp channel ๐๐ฝ https://whatsapp.com/channel/0029VaAHnT1KAwEfUAp7F300


New route coming soon... Dar-Kilwa-Dar


_"Tunapopitia kipindi kigumu, mara nyingi tunakimbilia kuomba Mungu atuvushe haraka, na kuacha kujifunza somo nyuma ya hicho kipindi kigumu. Matokeo yake mara nyingine ni kujirudiarudia kwa kitu kile kile, kwa kuwa vingine vigumu hutokea ili upate somo, na huwezi graduate Hilo eneo mpaka ulielewe somo na kulifaulu."_ Mr. Tshala

Comfort and modernity


Another one. On road to Dar for inauguration. ๐๐พ To God be the glory and dominion forever. 1. Pet. 5:11 ๐ฅ
