𝔗𝔰𝔥𝔞𝔩𝔞 𝔗𝔳
𝔗𝔰𝔥𝔞𝔩𝔞 𝔗𝔳
June 6, 2025 at 06:02 PM
The truth you need to know is this. People will motivate you thousands times but if you don't declare it by yourself that you want to force to succeed, no one will help you to do so. Sema leo nataka kuwa mtu mpya. Mtu watofauti Dhamiria kutoka ndani. Ni kweli kuna wakati unajaribu unashindwa. Sio wewe tu hata mimi pia kuna wakati navunjika moyo lakini nasimama nakusonga mbele. Wanazuoni wanakuambia katika maisha unapaswa kupaa,kama huwezi kupaa kimbia na kama huwezi kukumbia tembea na kama huwezi pia tambaa. Nakama huwezi kutambaa basi waza kusonga mbele
Image from 𝔗𝔰𝔥𝔞𝔩𝔞 𝔗𝔳: The truth you need to know is this. People will motivate you thousands...
❤️ 1

Comments