STORI NA HADITHI TAMU ZA KUSISIMUA ZA MTUNZI FRANK MANSHYNE 📚
STORI NA HADITHI TAMU ZA KUSISIMUA ZA MTUNZI FRANK MANSHYNE 📚
May 21, 2025 at 06:13 AM
*MWANAUME WA AJABU* Vifo vya ghafla vya wazazi wake vinamuacha binti samrath katika wakati mgumu. Alikuwa anawategemea wao pekee ili atimize ndoto yake ya kusoma na kuwa rubani. Lakini vifo hivyo vinakufa na ndoto zake baada ya ndugu aliodhani watamsaidia, kumsaliti na kumdhulumu mali zake zote alizoachiwa na wazazi wake. Samrath anaingia mtaani akiwa hajui atakula nini, atalala wapi, atavaa vipi na atasomaje bila ada. Majaribu ya dunia nayo yanamuandama, ni mara kadhaa ananusurika kufanyiwa ubaya na wanaume. Na hapo ndipo aligeuka na kuwaita wanaume wote ni mbwa. Lakini kabla kauli yake haijamea zaidi kichwani mwake, mara ghafla anakutana na mwanaume wa ajabu. JE UNAJUA MWANAUME HUYU NI NANI? ANAMFANYIA NINI SAMRATH? NA KWANINI ANAITWA MWANAUME WA AJABU? USIKOSE KUSOMA KITABU HIKI KIZURI, HAKIKA UTAKIPENDA. *Sasa unaweza kupata kitabu hichi kwa njia ya softcopy kwa Tsh 7,000 tu* NICHEKI WHATSAPP KWA NAMBA 0752031011 KISHA NIAMBIE KAMA UNAKIHITAJI
Image from STORI NA HADITHI TAMU ZA KUSISIMUA ZA MTUNZI FRANK MANSHYNE 📚: *MWANAUME WA AJABU*  Vifo vya ghafla vya wazazi wake vinamuacha binti ...
👍 ❤️ 😢 16

Comments