
STORI NA HADITHI TAMU ZA KUSISIMUA ZA MTUNZI FRANK MANSHYNE ๐
14.2K subscribers
About STORI NA HADITHI TAMU ZA KUSISIMUA ZA MTUNZI FRANK MANSHYNE ๐
Channel hii ni kwa ajili ya #story #hadithi, #riwaya, #tamthilia #chombezo na #simulizi za mwandishi/Mtunzi Frank Titus Kapinga. ๐ฅ #simulizi_#za_#kusisimua ๐ฅ #vitabu #softcopy na #hardcopy Makala kuhusu biashara na ujasiriamali. (#wakubwa na #watoto)
Similar Channels
Swipe to see more
Posts

NAHITAJI FARAJA NDUGU ZANGU ๐ญ Nilijidai kuwa bize na uandishi, hatimaye yamenikuta


Huwa napenda sana vitabu vyangu visomwe na wadada wenye BIKRA kama huyu Anaitwa TEDDY, yupo MARA, hamjui mwanaume anajua sana kuutunza usichana wake kongole kwake ๐ฅฐ


Mwenzenu huyo alianza kulipia CPL juzi tu Tayari amesoma season one Amesoma season two Na sasa anamalizia season three CPL ina jumla ya vipande 290. SASA JIULIZE INAKUWAJE MTU ANASOMA VIPANDE 290, KUNA NINI HUMO NDANI? Akili kichwani mtu wangu ๐ฅ 0752031011


SIKU LEONIA AKIJICHANGANYA


MTAZAME MWALIMU HAPO JUU, JE UTADOJI (UTAKOSA) KIPINDI KWELI?

KUNA WATU KILA MUDA WANANIULIZA BEI YA SIMULIZI HUWA NAWAANGALIA TU๐




Mtoto mashallaaah, Ona unywele huoo, kama yondo sista ๐ฅ Tazama macho hayo, kama anamkonyeza mwandishi vile ๐ฅฐ Nyie niwaambie kitu? huyu mtoto yupo SINGLE, anatafuta mwanaume wa ajabu


Ona mtoto huyo kutoka Zanzibar Mwanzo alikuwa hajui kabisa tabia za wanaume, alidhani wanaume wote ni MBWA lakini baada ya kusoma kitabu changu cha MWANAUME WA AJABU, hatimaye sasa amejipatia mwanaume wake wa ajabu ๐ฅ


Kama una mume msaliti, Mpe hiki kitabu ATATULIA YEYE MWENYEWE Kama unapitia changamoto nyingi katika maisha yako, usikate tamaa, soma kitabu hiki cha mwanaume wa ajabu Kama hauna roho ya uvumilivu, soma hiki kitabu ujifunze kuvumilia Kama unapenda kukurupuka katika mahusiano, soma hiki kitabu ili uone jinsi ya kumpata mpenzi sahihi kwa wakati sahihi SOMA HIKI KITABU CHA #MWANAUME#WA#AJABU KWA FAIDA YAKO, NICHEKI WHATSAPP 0752031011 JAMANI MKISHAKIPATA MNITUMIE PICHAAAA MKIWA MMESHIKA KITABUUU
