STORI NA HADITHI TAMU ZA KUSISIMUA ZA MTUNZI FRANK MANSHYNE 📚
STORI NA HADITHI TAMU ZA KUSISIMUA ZA MTUNZI FRANK MANSHYNE 📚
May 23, 2025 at 03:34 PM
*MWANAMKE MJINGA* *MTUNZI: FRANK TITUS KAPINGA* *Email: [email protected]* *Mawasiliano: 0752031011* SEHEMU YA 67 “Wewe nisubiri hapa.. Mimi naenda kumchukua Leonia aje kujionea yeye mwenyewe kwa macho yakee. Aje kuona uzinzi wa mumewe” “Hiyo nzuri bebi, tena fanya haraka aje kukichafua hapa hapa Bar” Japhet alisimama na kutoka nje, alichukua boda na kuelekea nyumbani kwa Leonia. Oya weee patamu hapo!!! litakufa jitu leooo. ***** NYUMBANI KWA LEONIA Kutoka WADUDU BAR hadi nyumbani kwa Leonia hakukuwa na umbali mrefu, baada ya dakika chache tu Japhet alitua mjengoni, alishuka haraka haraka na kukimbilia mlangoni kisha aligonga mlango kwa nguvu na fujo kama zote. Baada ya dakika chache Leonia alifungua mlango akiwa amejaa hasira, alikasirishwa na ugongaji wa hovyo wa mlango. Baada ya kutoka nje alishtuka mara baada ya kukutana na Japhet. “Kumbe ni wewe? Mi nilijua ni watoto wanagonga mlango.. Sasa wewe kaka, na ukubwa wote huo unashindwaje kugonga mlango kistaarabu?” “Hata ungekuwa ni wewe, una habari motomoto ungeweza kugonga mlango kwa upole?” “Kama kawaida yako umeniletea umbea” “Humo humo! Tena umbea huu wa leo ni wa mchana kweupeee” “Ondoka. Sikuamini tena. Hata mume wangu ameniambia nisikuamini kwa sababu lengo lako ni kuniharibia ndoa yangu” “Ah ah ah! Huyo mumeo anakukataza usinisikilize kwa sababu anajua mimi nina siri zake nyingi.. Maficho yake yote nayajua.. Hivi unajua mumeo sahizi yupo wapi?” “Si yupo kazini” “Yupo kazini eeh! Kwani sahizi ni saa ngapi?” “Saa 11 jioni” “Kazi gani ya serikali inafanywa hadi muda huu? Hivi we huogopi?” “Niogope nini? Kwani ni mara yake ya kwanza kuchelewa kutoka kazini? Kwani ni mara yake ya kwanza kuchelewa kurudi nyumbani?.. Unataka kusema wafanyakazi wote wa serikali wanarudi nyumbani saa 9 au 10?” “Okay tuache maneno mengi, mumeo yupo wadudu bar anakula raha na mwanamke mwingine” “Sikuamini, ondoka” “Narudia tena, mumeo yupo wadudu bar, anabebika na mwanamke mwingine. Tena huyo mwanamke ana matako makubwa kama Zuhura” “Hata uongee nini, naona unanipigia kelele tu. Jana ulisababisha nipelekwe hospitali, uliniletea kadi yenye jina la Edward kumbe Edward mwenyewe sio huyu wangu” “Duh! Ina maana hata ile kadi hukuiamini?” “Naanzaje kuviamini vitu vya uongo?” “Okay, tuachane na mambo yaliyopita, naomba leo niamini, twende ukajionee mwenyewe, kama nakudanganya naomba usiniamini tena katika maisha yako” “Nimesema hivi, sikuamini, ondokaa! Na kama hutaki kuondoka, nakufungia mlango, kwaheri” Leonia alizama ndani kisha alibamiza mlango mbaaah! Alifunga kisha aliendelea kutazama movie. Baada ya Leonia kurudi ndani Japhet aliwaza afanye nini? Aondoke au afanyaje?.. Lakini kuhusu kuondoka hakuafiki hata kidogo, aliona hasara kubwa kuondoka pasipo kutimiza lengo lake. Fasta alichomoa simu yake na kumpigia bebi wake, simu ya Ummuh iliita kwa mara ya kwanza haikupokelewa, mara ya pili haikupokelewa, mara ya tatu ilipokelewa. “Wewe mbona umechelewa kupokea simu?” Japhet aliongea kwa ukali “So-rry be-bi nilipitiwa na usingi-zi” Ummuh alijibu kwa sauti ya kilevi “Umelala? unalalaje sasa? We si nimekupa kazi ya kuwalinda hao wazinzi?.. Unalala, wakipotea je?” “Hawawezi kupotea bebi, bado wapo, hawa leo ni wetu.. Nawe mbona unachelewa sana kurudi? Unataka hadi waondoke au?” “Leonia ndiye ananichelewesha, nimempa taarifa lakini haniamini, kwahiyo naomba fanya kitu kimoja” “Kitu gani bebi?” “Wapige picha hao kisha nitumie whatsapp” “Sawa bebi nakutumia” Ummuh alijibu. “Fanya chap” Japhet alisisitiza kisha alisubiri picha, baada ya dakika chache alitumiwa picha ila kwa bahati mbaya picha ilionyesha sura ya Edward lakini haikuonyesha sura ya dada wa saloon, dada wa saloon alionekana mgongo tu. Edward baada ya kupokea picha hiyo kwa mara nyingine aligonga mlango kisha alimsisitiza Leonia afungue mlango ili amuonyeshe picha ya mumewe akiwa bar na mwanamke mwingine. Leonia baada ya kusikia hivyo alifungua mlango, alionyeshwa picha, alishtuka. “Eh! Kumbe ni kweli” Leonia alizungumza akiwa anaishangaa picha, hakuamini hata kidogo. “Ulidhani nakutania eeh? … Mimi sisemagi uongo… Mwanzo nilikuambia mumeo anatoka na Zuuh ulibisha, nilikuambia ile mimba ya Zuuh ni ya mumeo, ulibisha. Sasa leo twende ukakione chuma kipya cha mumeo” “Okay twende… Leo huko bar kutawaka moto” Leonia alifunga mlango kisha aliita boda nyingine, yeye na Japhet walielekea Wadudu bar. **** WADUDU BAR AND LOUNGE Ombi la dada wa saloon lilikuwa gumu sana kwa Edward, mwamba alikosa majibu ya haraka haraka, aliamua kutulia kwanza. Vyakula vililetwa, Edward alikula msosi akiwa anatafakari maombi ya dada wa saloon. “Nijibu basi jamani, au unataka niwe naendelea kukusumbua?” “Hapana” “Sasa si bora ukubali tu” “Tatizo sio kukubali” “Sasa tatizo nini?” “Je una uhakika nikikubali kufanya kwa mara ya mwisho, hutonisumbua tena?” “Walai nakuapia, nakuahidi ukikubali sitokusumbua Edward. Sitokusumbua hata kidogo. Nitatulia na mume wangu” “Sawa” Edward alijibu kisha aliendelea kula nyama choma “Kwahiyo umekubali au?” “Ndiyo nimekubali, ila ni mara ya mwisho” “Oh! Asante kipenzi jamani… Maliza kula kicha tuingie ndani tukachukue room” “Sawa” Edward alijibu akiwa anatafuna nyama. Alitafuna akiwa anazungusha macho huku na huko. Sasa akiwa anazungusha macho, kwa bahati nzuri macho yake yalitua kwenye meza ya Ummuh, alishtuka mara baada ya kumuona binti huyo akiwa amelala juu ya meza. Edward fasta alisimama; “Vipi mbona umeacha kula? Na kwanini umesimama?” Dada wa saloon aliuliza akiwa anamshangaa Edward “Nimekubali tufanye lakini hatutofanyia hapa” “Kivipi tena jamani, si tumekubaliana umalize kula tuchukue room” “Hii sehemu sio salama tena, kuna mtu nimemuona ananifahamu.. Kwahiyo kama unataka tufanye, twende tukafanyie sehemu nyingine, kama hutaki mimi naondoka” “Basi tunaondoka, na hiki chakula chako vipi?” “Sina hamu tena ya chakula, tuondoke” Edward alijibu akiwa ananawa maji. Baada ya kunawa alipiga hatua kuelekea nje. Dada wa saloon baada ya kuona hivyo nae alitoka nduki hadi nje. Walizama kwenye gari ya dada wa saloon kisha waliondoka. ****** Baada ya mwendo mkali hatimaye Japhet na Leonia walifika wadudu bar, walikimbizana moja kwa moja hadi ndani, walimkuta Ummuh akiwa amelala kwenye meza, Japhet alitupa macho kwenye meza ya Edward alikuta patupu, hakuona mtu, alichanganyikiwa. Fasta alimuamsha Ummuh “Wewe…Oya… Amka amkaa” “Eh kumbe umerudi?” Ummuh alishtuka na kuamka “Edward na mchepuko wake mbona siwaoni? Wameenda wapi?” “Mh! si walikuwa pale? .. Sasa wameenda wapi?” Ummuh alishangaa “Unamuuliza nani sasa?.. Wewe si ndiye ulibaki hapa, na nilikupa kazi ya kuwachunga” “Niliwachunga muda wote, ni vile tu nilipitiwa na usingizi dakika chache zilizopita” “Si unaona sasa madhara ya kulala lala hovyo?” “Nisamehe bebi… Hata hivyo sidhani kama wameenda mbali. Mi nahisi wapo humu humu, inawezekana wamechukua room, wameingia ndani kwenda kufanya mambo yao” “Hapo sasa umeongea jambo la maana… Hebu ngoja kwanza” Japhet alizungumza kisha alimfuata muhudumu mmoja, alimuuliza “Sorry dada, kuna watu wawili walikaa kwenye meza ile pale, dada flani hivi mwenye shepu kubwa kubwa, na jamaa flani hivi mrefu, ana mwili wa wastani” “Wameondoka muda si mrefu, wametoka nje ya bar, sasa sijajua wameenda wapi” Japhet baada ya kuambiwa hivyo alitoka nduki hadi nje ya bar, aliangaza macho huku na huko lakini hakuambulia kitu. “Dah! Nishawakosa! Leo tena naumbuka..” Japhet alijisemea kwa sauti ndogo. Aliganda nje akiwa anawaza afanyaje, nae akimbie au ajisalimishe?.. Hakupata majibu. Sasa akiwa bado anatafakari mara alishtushwa na sauti ya Leonia; “We kaka mbona sikuelewi, unanizungusha zungusha tu hapa bar, au unadhani mimi ni mlevi mwenzio?” Leonia alizungumza akiwa amesimama nyuma ya Japhet “Sorry shem” Japhe alijibu mara baada ya kugeuka nyuma. “Sorry ya nini?.. Huyo mume wangu yupo wapi?” “Dah! Leo tena ametuweza” “Amewaweza kivipi? Kwani mpo kwenye mashindano?” “Ndiyo tupo kwenye mashindano. Yeye anakusaliti wewe kwa siri, hataki wewe ujue. Lakini sisi tunakata wewe ujue.. Kwa bahati mbaya kila tukikuambia huamini” “Hata ungekuwa wewe ungeamini bila kujionea mwenyewe?” “Na ndio maana leo nilikuleta hapa ili ujionee mwenyewe” “Haya nimekuja sasa, yuko wapi huyo mume wangu ili nimuone akinisaliti?.. Nyie si mlimpiga picha, ulinisisitiza nikija hapa nitajionea mimi mwenyewe kwa macho yangu, haya nimekuja, yuko wapi sasa?” “Ametukimbia” “Amewakimbia kivipi? Kwani aliwaona?” “Hapana” “Sasa mtu hajawaona, anawezaje kuwakimbia?” “Dah” “Yaani natamani nikutukane lakini nashindwa, ni kwa sababu nakuheshimu. Nakuheshimu kwa sababu unafanya kazi ofisi moja na mume wangu. Licha ya kukuheshimu lakini naomba na wewe mwenyewe ujiheshimu. Kama utashindwa kujiheshimu ipo siku na mimi nitaacha kukuheshimu, nitakuvunjia heshima.. Unanielewa kaka?” “Nakuelewa shem” “Umeniharibia starehe zangu nyumbani, nilikuwa nacheki movie nzuri lakini nimeacha kwa ajili yako. Sikiliza nikuambie kitu bro, mimi namfahamu vizuri mume wangu, najua hanisaliti, hawezi kunisaliti na wala hatokuja kunisaliti. Kwahiyo acha hizo chuki zako. Kama mligombana kazini kwenu, naomba ugomvi wenu mkaumalizie huko huko kazini kwenu. Usilete chuki zako kwenye ndoa yangu, hii ndoa haikuhusu. Unataka tuachane, halafu tukiachana utanioa wewe?… Hivi unadhani mimi ninaweza kuwa na mwanaume mwingine tofauti na mume wangu? Thubutuu!!.. Yaani mimi hata mfanyaje, kamwe siwezi kumuacha mume wangu, na yeye hawezi kuniacha. Leo ilikuwa ni siku yangu ya mwisho kukuamini. Kuanzia sasa hata uniletee video za uchi za mume wangu akiwa na mwanamke mwingine, sitokuamini hata kidogo. Tena ukiendelea na huo usumbufu wako nitakufanyia kitu kibaya sana, kwaheri” Leonia alimaliza kuongea kisha alikaa kwenye boda na kuondoka. Kwa hasira Japhet alimchukua bebi wake kisha waliondoka walielekea magetoni kwao buguruni. ***** UTAM LODGE Edward na dada wa saloon walifika kwenye lodge ya utam. Baada ya kufika tu dada wa saloon alifungua mkoba wake kisha alichomoa pesa taslimu laki tano, alimkabidhi Edward ili kumvuruga, kumpandisha nyege na kumpatia vibe la shoo. Edward licha ya kupokea pesa nyingi lakini siku hiyo alipanga kupiga shoo mbovu kwelikweli. Alipanga kupiga shoo mbovu ili dada wa saloon hasinogewe, aache mazoea. “Nikijidai kumfanyia mbwembwe nyingi, ataendelea kuniganda. Huyu dawa yake ni kumpa shoo ndogo ili tukiachana anichukie, hasinitamani tena. Ile shoo ya kwanza ilimvuruga, na ndio maana ananisumbua kwa sababu anaamini mimi ni mt*mbaji mzuri. Sasa leo namt*mba hovyo, siweki mbwembwe hata moja. Nitahakikisha nakojoa mapema ili akereke. Akikereka hatonisumbua tena” Edward aliwaza kimya kimya akiwa anavua nguo. Baada ya kuvua nguo walielekea bafuni. Wakiwa bafuni dada wa saloon aliamini huko huko bafuni ni lazima atat*mbwa tu. Lakini huwezi amini, hadi wanamaliza kuoga hakunyonywa denda wala hakusuguliwa kimisi. Ilimuuma sana lakini alipotezea, aliamini shughuli itakuwa kitandani. Baada ya kufika kitandani, dada wa saloon alikaa kiutamu utamu, alikaa kimitego mitego akisubiri kupewa shoo, lakini Edward alitulia tulii akitazama juu, mara alifumba macho, kisha alianza kukoroma, alijidai kapitiwa na usingizi. “Eeeh! Umelala mara hii tu?.. Wewe.. Edi.. Bebi…” Dada wa saloon alimuamsha Edward “Na-naam” Edward alijidai kushtuka “Jamani kwani leo vipi my?” “Oh! Sorry, nilichoka tu… ngoja tufanye” Edward alizungumza akiwa anainuka. Alimsogelea dada wa saloon kisha alimpiga denda, alimnyonya mate bila kumchezea matiti wala kumsugua K, hakumnyonya shingo wala masikio, hakumchezea makalio wala hakumnyonya kitovu. Kwa ufupi ni kwamba alimnyonya denda tu kisha alishuka chini hadi kwenye K, alikamata uobo na kuudumbukiza ndani fyuu kisha alianza kusugua, alisugua kwa kasi akiwa anavuta hisia za kukojoa. Alisugua tu bila kutumia ufundi wala akili yoyote, aligonga hovyo hovyo ilimradi bao litoke tu. Dada wa saloon baada ya kuona hivyo alipiga makelele akimwambia Edward apunguze speed lakini Edward hakupunguza. Kuna muda dada alihisi matiti yake yanawasha, aliomba anyonywe lakini Edward aliziba masikio. Yaani siku hiyo hata kumtazama usoni hakumtazama, hakumuongelesha wala hakumfurahisha. Edward alit*mba kimya kimya akiwa anatazama pembeni. Licha ya ut*mbaji kuwa wa hovyo lakini Dada wa saloon alipandwa na mizuka, alihisi nyege zinazibuka, alihisi miwasho inakolea, alitanua mapaja vizuri ili akunwe zaidi. Sasa akiwa anajiandaa kukunwa ipasavyo, mara ghafla Edward alipiga bao, mchezo uliishia hapo hapo. Dada wa saloon alikodoa macho kodoo, alishangaa!. Alimtazama Edward usoni kisha alimkazia macho, alijiuliza ni yeye kweli au ni copy yake? “Bebi vipi? Kwani leo unaumwa au?” Dada wa saloon alimuuliza Edward ambaye alilala pembeni mara baada ya kumaliza round ya kwanza “Hapana siumwi” Edward alijibu “Sasa leo mbona sielewi?” “Huelewi nini?” “Kuanzia maandalizi hadi ufanyaji sijauelewa hata kidogo” “Eh! Shoo yote hiyo hujaielewa?” “Shoo? Shoo gani? Kuna shoo uliyonipa hapa?” “Ndiyo nimekupa shoo” “Hebu acha utani basi.. Mimi nakujua wewe, hauna shoo mbovu kama hiyo. Ile siku ya kwanza hukufanya kama hivi” “Kwahiyo unadhani kila siku ni jumapili?… Kwamba na leo nitafanya kama ile siku?” “Hapana, siku hazifanani lakini hata kama hazifanani, sio kihivyo.. Huyu wa leo sio wewe” “Sikiliza nikuambie kitu dada angu, ile siku niliotea tu, nilikubahatisha tu. Siku ile nilitumia nguvu nyingi kwa sababu ilikuwa ni mara yetu ya kwanza kuonana. Pia nilikukamia kwa sababu nilitaka kumkomoa mke wangu ambaye alinikera” “Hapana Edward unanidanganya…. Na kama ni kweli ulinikamia, naomba na leo nikamie” “Leo siwezi kukukamia kwa sababu mke wangu hajanikasirisha. Pia leo hata nikikamia sitofanya kama siku ile, nitafanya kama nilivyofanya leo” “Daah” Dada alisikitika, maneno aliyoyasikia yalimuumiza sana. Edward baada ya kuona dada kaelewa somo, aliona huo ndio muda wa kusepa. Fasta alivuta simu yake kisha alipokea simu ya uongo kutoka kwa mkewe. “Hallo mke wangu?… Unanitafuta?….. Nani kakuambia mimi nipo bar?… Hapana, mimi nipo njiani natoka kazini narudi nyumbani.. Siwezi kukusaliti mke wangu… Ndio..… Ndio, muda si mrefu nitakuwa hapo… Sawa mke wangu nakuja” Edward alimaliza kuongea, alijidai kukata simu kisha alishuka chini na kuelekea bafuni, alioga haraka haraka na kurudi chumbani, alianza kuvaa nguo zake. “Mbona unavaa nguo?” Dada wa saloon aliuliza akiwa anashangaa “Naondoka” “Unaenda wapi?” “Kwani hukunisikia nikiongea na mke wangu?” “Nimekusikia, lakini ndo unataka kuniacha kwenye hali hii?” “Hali gani tena jamani? Mbona hauna shukrani wewe mwanamke?.. Umeoniomba tufanye mara ya mwisho, nimekubali tumefanya, sasa unataka nini tena?” “Edward hebu acha utani basi.. Hata kama hunipendi lakini sio kihivyo. Jana nilimdanganya mume wangu anipe million moja za biashara, lakini pesa zote nimekupa wewe ili tu ukubali ombi langu. Nashukuru umekubali lakini bado hujanipa kitu ninachokitaka. Ni kweli nahitaji shoo moja ya mwisho, lakini sitaki shoo ya hovyo, nataka shoo ya ukweli na uhakika” “Ooooh! Sasa nimeelewa. Kumbe unanitumia kingono si ndio? Umenilipa pesa ili niwe mnyonge kwako au sio?.. Haya shika pesa zako, kwaheri” Edward alimwaga pesa kitandani kisha alitoka nduki kuelekea mlangoni “Weeeeh! subiri kwanza, bado hatujamaliza. Kamwe huwezi kuondoka kirahisi namna hiyo.. Hizi pesa zako ni zako. Sijakununua wala sikutumii kingono, nimekupa kama shukrani tu” Dada wa saloon alizungumza akiwa anamfuata Edward, akiwa uchi alizuia mlango, hakuna kupita mtu. “Dada sihitaji pesa zako, pia mimi na wewe tumemalizamana. Nilichokupa kinakutosha, kama hakijakutosha; hiyo sio kazi yangu, ni kazi ya mumeo. Mimi sina uwezo wa kukupa zaidi ya hicho nilichokupa” “Mimi sio mtoto Edward, ninamjua mt*mbaji mzuri na hata mtu hasiyejua kut*mba namjua. Wewe nishakujua, ni mt*mbaji mzuri. Najua una uwezo wa kunipa zaidi ya ulichonipa ila umenichezea mchezo” “Mchezo gani?” “Nimekushtukia Edward” “Kivipi yani?” “Hata ile simu haukuwa unaongea na mkeo, ulikuwa unanizuga tu ili uondoke. Sasa nisikilize kwa makini, hapa haondoki mtu. Hatoki mtu hapa. Sio kwa sababu nimekulipa pesa, hapana, ila ni kwa sababu nina nyege kali, kamwe siwezi kubaki na nyege kali kiasi hiki. Mt*mbaji mzuri kama wewe unawezaje kuondoka na kuniacha mimi kwenye hali mbaya kama hii? We kuweza?… Eti we ungeweza???…. Edward ukitaka kuondoka hapa kwa amani, naomba nisugue hadi nikome, nit*mbe hadi nichanganyikiwe, nigonge hadi nipagawe, ni hivyo tu” Daadeq!! Dada wa saloon hakucheka na wowote. Aliamua kutema nyongo!! Aisee leo litakufa jituu!! GONGA LIKES ZA KUTOSHA NISHUSHE SEHEMU YA 68 KAMA UNA MAONI NITUMIE WHATSAPP 0752031011 #hadithi #simulizi #tamu #stori #story #mapenzi #chombezo #riwaya
👍 ❤️ 😂 🙏 😮 🔥 😢 🧡 236

Comments