
STORI NA HADITHI TAMU ZA KUSISIMUA ZA MTUNZI FRANK MANSHYNE 📚
June 4, 2025 at 05:52 PM
*MWANAMKE MJINGA*
*MTUNZI: FRANK TITUS KAPINGA*
*Email: [email protected]*
*Mawasiliano: 0752031011*
SEHEMU YA 69
Mwamba alipiga mashine kwa spidi na kasi ya ajabu. Alizikamata nywele za dada wa saloon na kuzivuta kwa nyuma, alimshindilia uobo. Alimtia vitu vya maana. Fumba na kufumbua dada alianza kukata moto, alirusha mkojo wa mwisho kisha alitulia kimyaa. Kama kawaida yake alizima tena. Shenziii!!
SEHEMU YA 69
*****
NYUMBANI KWA LEONIA
Majira ya saa nne usiku Leonia alikuwa peke yake sebuleni akitazama movie. Ilikuwa ni season. Kama kawaida yake alikata vipande tu. Mara acheke, mara asikitike, mara ashangilie, hivyo yani.
Licha ya kwamba mumewe hakuonekana lakini hakumfikiria vibaya wala hakumpigia simu kumuuliza yupo wapi, yeye aliona ni jambo la kawaida tu. Kichwa chake bado kiliamini kuwa mumewe sio msaliti na wala hawezi kusaliti.
*****
ZANZIBAR, NYUMBANI KWA ZUUH.
Zuhura aliishi maisha ya uaminifu sana. Tangu aachwe na Edward hakuruhusu kabisa kuingia kwenye mahusiano na mwanaume mwingine. Alijitunza ili kutimiza kiapo alichoombewa na Edward.
Usiku huo akiwa kitandani simu nyingi ziliingia, alipigiwa na wanaume ambao walimtaka. Wanaume hao walikuwa tayari kulea mimba isiyo na baba lakini Zuhura aliwakataa na kuwablock.
Aliutunza mwili wake kwa ajili ya mwanaume wa maisha yake.
*****
DAR KIGAMBONI, LODGE
Majira ya saa 5 usiku dada wa saloon alishtuka kutoka katika usingizi mzito. Kwanza alishangaa kujiona yupo uchi. Pili alishangaa kujiona yuko pekeyake. Alizungusha macho huku na huko, alimtafuta Edward lakini hakumuona. Hata nguo za Edward hakuziona, dada alishangaa.
Taratibu alishuka chini kisha alijikongoja akitaka kwenda bafuni lakini miguu ilikuwa mizito, mwili wote uliuma, alikaa kwanza chini sakafuni kisha alilala chali, alijipepea K yake kwa kutumia viganja vya mikono yake.
Baada ya kujipepea kwa dakika chache alisimama tena kisha alijikongoja, alitembea kwa kuchechemea aliingia bafuni, alichungulia akidhani atamuona Edward lakini hakumuona, alirudi chumbani na kuchukua simu yake, alimpigia Edward lakini namba ya Edward haikupatikana.
“Duh! Ndo basi tena kashaniacha. Lakini mbona pesa zake hajachukua?.. Kwa kile alichonifanyia anawezaje kuondoka na kuacha pesa ambazo nilimlipa?.. Au amenikasirikia?… Inawezekana amekasirika. Hata kama amekasirika lakini hizi pesa ni mali yake, kesho nitamtumia. Sio kwa utamu ule! Aiseee yule mwanaume anajua sana” Dada wa saloon alijisemea akiwa anatabasam.
Taratibu alichukua taulo kisha alielekea bafuni, alioga kisha alirudi chumbani, alivaa nguo zake, alichukua vitu vyake kisha alitoka nje, alizama kwenye gari kisha alirudi nyumbani.
Baada ya dakika chache alifika nyumbani akidhani atamkuta mumewe amelala lakini haikuwa hivyo, alimkuta mumewe akiwa macho sebuleni. Dada aliogopa.
“Saa sita na dakika 14 usiku. Mke wa mtu unarudi nyumbani muda huu, mbaya zaidi hukutoa taarifa, haya niambie ulikuwa wapi?” Mumewe aliuliza
“Aaah!… Aaaah.. Leo nilikua na wateja wengi kuliko siku zote, na ndio maana nimechelewa kufunga ofisi”
“Mke wangu hatimaye umeanza kuwa mwongo. Kwa taarifa yako baada ya kutoka kazini mida ya saa 11 jioni nilipitia saloon kwako, nilikuta umefunga. Nilirudi nyumbani kisha saa mbili nilienda tena kazini kwako, nilikuta pamefungwa. Haya niambie hao wateja ni wateja gani?”
“Ni wateja private mume wangu, waliniita nikawasuke nyumbani kwao”
“Oooh! Wateja private. Sawa nimekuelewa. Na kwanini unatembea ukiwa unachechemea? Ina maana hao wateja wako wamekuvunja mguu au?”
Hapo ndio patamu sasa. Dada wa saloon alihisi kupagawa. Alitamani kukaza miguu yake na kutembea vizuri lakini alishindwa. Aliinama chini akihisi aibu za ukubwani.
“Nijibu, kwanini unachechemea?”
“Nikiwa kazini nilijikwaa kwenye kidole gumba”
“Hivi wewe mwanamke unaniona mimi bwege au?… Sikiliza nikuambie, mimi sio fala, najua umetoka kwa mwanaume. Hizi week chache nimekuwa nikichunguza mienendo yako nimegundua kuwa una mwanaume mwingine anayetimiza shida zako. Na ndio maana kila siku umekuwa ukinipa sababu; Mara hivi, mara vile. Hivi nyinyi wanawake mnataka mpewe nini?… Mkiwekwa ndani mnasema mnataka kufanya biashara. Mkipewa biashara mnazitumia vibaya, mnazitumia kusaliti waume zenu.. Kwanini unataka nijute kukufungulia biashara? Eti mke wangu?”
“Nisamehe mume wangu, lakini ninakuhakikishia kwamba sijakusaliti na wala sina mwanaume mwingine zaidi yako”
“Hayo maneno kawadanganye watoto wadogo sio mimi. Mimi nakufahamu wewe vizuri. Nimeishi na wewe kwa miaka mingi sana, haukuwa na tabia hizi. Tuligombana kwa mambo mengine tu lakini sio usaliti. Sasa nisikilize kwa makini, najua umetoka kunisaliti lakini nakuacha kwa amani. Ombi langu kwako ni moja tu, kama umenichoka niambie tuachane”
“Hapana mume wangu mi sijakuchoka, nisamehe pliiiz”
“Hakuna ndoa inayodumu kama mwanamke ni msaliti, hiyo ndoa haipo. Acha huo mchezo haraka kabla hujaharibikiwa. Najua kwa sasa unanidharau kwa sababu umenizoea kitandani, unaniona wa kawaida tu. Lakini ngoja nikuambie, mimi unayenidharau; wanawake wenzio wananihitaji na wananiona mtu wa maana sana. Kwahiyo kama hutaki kupambana na hali ya mimi mume wako, muda si mrefu utapambana na hali za wanaume wengine! Asante kwa kunisikiliza” Jamaa alimaliza kuongea kisha alisimama na kuelekea chumbani kulala.
Dada wa saloon aliganda pale sebuleni kwa sekunde nyingi akitafakari maneno ya mumewe, kisha baada ya kutafakari alipiga hatua taratibu kuelekea chumbani, alilala pembeni ya mumewe, walilala bila kugusana wala kusemeshana. Mambo ya ndoa hayo! Nyie ndoa iacheni tu.
*****
Siku iliyofuata dada wa saloon kama alivyoahidi alimtumia Edward pesa yake kisha alifuta namba yake. Dada aliamua kubadilika. Aliishi kwa kufuata sheria za mumewe. Alimtii mumewe ili hasiachike.
Kila siku alirudi nyumbani mapema, saa 12 alikuwa nyumbani, akichelewa sana saa moja. Akiondoka aliaga, na hata akichelewa kurudi alitoa taarifa. Huo ndio ulikuwa utaratibu wake mpya ili kumfurahisha mumewe.
*****
Kwa upande wa Japhet naye kama alivyoahidi. Alibadili dini kutoka ukristo hadi uislamu, alibadili jina kutoka Japhet hadi Naseeb kisha alimuoa Ummuh.
Walilea mimba yao kwa utulivu na mapenzi makubwa, waliacha kabisa umalaya. Baada ya likizo kukamilika Japhet alirudi kazini kisha aliendelea na majukumu yake ya ugavi kwenye ofisi namba 2.
****
Kwa upande wa Leonia na Edward, licha ya kwamba hawakupeana unyumba lakini ndoa ilikuwa salama.
Edward licha ya kutopewa unyumba lakini alikuwa mtulivu. Hakumsaliti tena mkewe. Hakumkomoa wala hakumkomesha, hakumchukia wala hakumfanyia ubaya wowote.
Leonia licha ya miaka mingi kupita lakini hakujishtukia wala hakujiongeza, hakubadilika wala hakufikiria kabisa kumpa unyumba mumewe. Yeye aliona ni jambo la kawaida tu kuishi na mumewe bila kusex.
Kama kawaida aliendelea kuinjoy maisha kwa kutazama movie kila wakati. Alitazama kwa kujiachia. Bila stress yoyote. Hakuhofia chochote. Yeye kichwa chake kiliamini kwamba ndoa ya kikristo ikifungwa imefungwa, kamwe haiwezi kuvunjika.
*****
NYUMBANI KWA DADA WA SALOON
Ulikatika mwezi mmoja tangu dada wa saloon atulie kwenye ndoa yake. Katika kipindi hicho alipitia magumu mengi sana hasa hasa kitandani. Alijitahidi kuvumilia mapungufu ya mumewe lakini mwili ulikataa, mwili ulihitaji kitu cha ziada.
Changamoto hiyo ilipelekea aanze kukumbuka shoo za Edward. Alitamani kumtafuta tena lakini roho ilikataa, aliogopa kushtukiwa kama siku ile.
Aliogopa sana kuvunja ndoa yake kwa sababu mumewe licha ya kwamba hakuwa na nguvu za kutosha lakini alijaaliwa pesa nyingi. Kila pesa aliyohitaji kwa mumewe, alipewa. Pia aliogopa kuachana na mumewe kwa sababu walitoka mbali, aliogopa kuchekwa na waja.
Ili kukidhi haja zake dada aliamua kununua dildo na sex dolls kisha alianza kujichua kwa siri. Alisubiri mumewe akienda kazini alijifungia chumbani pekeyake kisha alianza kujiridhisha yeye mwenyewe.
Alijiingiza dudu la bandia kisha alijisugua kwa style mbalimbali. Siku nyingine alimtoroka mumewe kitandani kisha aliingia bafuni, alijidai anakwenda kuoga kumbe hakuoga, baada ya kufika bafuni alijisugua kwa kutumia dildo.
Alidumu kwenye mchezo huo kwa wiki tatu lakini hakuambulia chochote. Raha alizozipata ni tofauti na raha alizokuwa anapewa na Edward.
Baada ya kuona dildo hazimsaidii kitu, kwa hasira aliamua kufumba macho, aliziba masikio kisha aliwaza liwalo na liwe. Kwa mara nyingine tena dada alianza kumtafuta Edward.
Alitafuta mahali anapofanyia kazi hadi alipapata.
****
OFISINI KWA EDWARD
Ilikuwa ni ijumaa, siku hiyo wafanyakazi wote wa ofisi ya ugavi, ofisi namba 1 na ofisi namba mbili walichelewa kurudi nyumbani kutokana na majukumu mazito.
Hadi kufikia saa 11 jioni bado walikuwa ofisini. Mida ya saa 12 kamili walimaliza kazi.
Baada ya kumaliza kazi; Japhet alikuwa mtu wa kwanza kuondoka, alitoka haraka akitaka kumuwahi mkewe ambaye kwa wakati huo alikuwa ni mjamzito. Alilitaka kwenda kumsaidia kupika, kumchezea tumbo, kumpetipeti, hivyo yani.
Baada ya kufika nje alizungusha macho huku na huko akitafuta boda boda. Sasa akiwa anazungusha macho mara alishtuka. Alishtuka mara baada ya kumuona dada wa saloon akiwa amesimama nje ya gari yake.
“Mh! Yule dada si ndo yule niliyemfuma kule Wadudu bar akiwa na Edward!!! Sasa amefuata nini hapa ofisini kwetu? Au amemfuata Edward? Ina maana bado wanakulana?… Hebu ngoja nisubiri nione itakuwaje” Japhet aliwaza kisha alijificha sehemu, alitaka kuona nini kitatokea.
Baada ya dakika chache mara alimuona Edward akitoka mjengoni kisha alitembea taratibu kuelekea nyumbani kwake.
Dada wa saloon baada ya kumuona Edward fasta alizama kwenye gari yake kisha alimfuata, alimkuta, alisimamisha gari pembeni yake.
“Hello Edi habari yako?” Dada alisalimia akiwa anatabasam
“Nzuri, mambo?”
“Poa. Hivi ile pesa yako uliipata?”
“Yeah, asante”
“Mh! Kitambo sana, hata kunitafuta jamani?” Dada wa saloon alianza mambo yake
“Mambo mengi, vipi lakini mzima wewe?”
“Mimi mzima japo mawazo ni mengi”
“Mawazo gani?”
“Hujui tu nini kinanipa mawazo?”
“Sijui”
“Shoo zako… Nimevumilia sana lakini hali ni mbaya”
“Mh! Samahani, kwa sasa sitopenda kuzungumzia habari hizo, kwaheri” Edward alipiga hatua akitaka kusepa lakini alisimamishwa.
“Subiri kwanza, mi nimekuelewa, ila naomba nikupe lift nikakuache hapo mbele” Dada alizungumza kwa upole akiwa anamtazama Edward usoni.
Edward alifikiria kwa sekunde chache kisha alikubali, alizama kwenye gari kisha waliondoka.
Hayo yote Japhet aliyaona, nae hakuzubaa, fasta alikimbia na kuita boda kisha alimwambia waifuatilie gari ya dada wa saloon.
*****
UBUNTU LODGE
Dada wa saloon aliendesha gari hadi Ubuntu lodge. Yaani badala ya kumpeleka Edward nyumbani kwake, yeye alimpeleka lodge akiamini watafanya tu.
Baada ya kufika lodge alitaka kuingiza gari ndani lakini Edward alishtuka, alimwambia asimamishe. Dada alisimamisha gari.
“Sasa mbona umenileta hapa?” Edward aliuliza swali akiwa anashangaa.
“Jamani ndo swali gani hilo? Kwani wewe hujajua tu kwanini nimekuleta hapa?”
“Sijajua na ndio maana nimekuuliza”
“Mi nimekumiss”
“Kwahiyo kama umenimiss?”
“Nataka tusex kwanza kisha nitakupeleka nyumbani kwako.”
“Hivi wewe dada unanichukuliaje mimi? Unadhani unaweza kunipelekesha tu kiboya boya?”
“Kiboya boya kivipi yani?”
“Unaniona mimi ni mtumwa wako wa ngono au sio?
“Hapana, kwani vipi?”
“Kirahisi rahisi tu unanileta lodge ukitaka tusex, kwani nimekwambia nataka kusex na wewe?”
“Hapana hujaniambia, najua hutaki kusex na mimi ila mimi nataka kusex na wewe”
“Pumbavu! Fungua mlango niondoke”
“Please Edward usinifanyie hivyo, kwanini unakuwa na roho mbaya? Mbona wanaume wengine wananisumbua sana kimapenzi, wananiona mimi ni mzuri, wanavutiwa na mimi, sasa kwanini wewe huvutiwi na mimi?”
“Kwa sababu sikupendi, pia kwa sababu nina mke wangu ambaye ananivutia zaidi kuliko wewe. Tafadhali leo sina mood ya kukusikiliza, mimi na wewe tulishafunga mjadala, naomba fungua mlango kabla sijaharibu vioo vya gari yako”
“Duh! Okay nafungua ila naomba ushushe hasira ili tuongee vizuri”
“Nimesema fungua mlango.. Fungua haraka” Edward alipiga kelele. Dada wa saloon aliogopa, fasta alifungua mlango. Edward alitoka nje kisha alipiga hatua akiondoka.
Dada wa saloon baada ya kuona hivyo hakutaka kukubali, fasta nae alitoka nje ya gari kisha alimkimbilia Edward, alimshika mkono akitaka kumsimamisha lakini alisukumwa, alipepesuka almanusura adondoke.
Hayo yote Japhet aliyaona. Kwa mbali alimshuhudia Edward akitokomea, pia alimshuhudia dada wa saloon akiwa analia.
“Duh! Hili jamaa sijui ni lishoga, yaani silielewi hata kidogo. Hivi mwanaume kamili unawezaje kumkataa demu mkali kama yule?… Hebu tazama toto lile, unywele hadi makalioni, tako kama mlima kitonga, matiti yamejaa kama maboga! Aisee. Leo nimeamini msemo wa wahenga, kwenye miti mingi hakuna wajenzi. Hili jamaa litakuwa ni bwabwa, sio bure. Lina nyota ya kupendwa ila lenyewe halitaki madem kwa sababu linajijua haliwezi kupiga shoo.. Huyu mpuuzi na ndio maana hadi leo anashindwa kumpa mimba mkewe. Mimi nimekutana na Ummuh mwezi uliopita tu, lakini hadi sasa nimeshampachika mimba. Yeye na Leonia wana zaidi ya miaka miwili, hadi leo hakuna mtoto wala hakuna mimba! Si usenge huo jamani…. Halafu ana bahati sana ya kupata michepuko mizuri lakini michepuko yote anaichezea… Sasa pale sijui yule demu analia nini, hebu ngoja kwanza nikamuulize” Japhet alijisemea kwa sauti ndogo kisha alipiga hatua alimfuata dada wa saloon
“Habari yako dada” Japhet alimsalimia dada wa saloon. Dada alisikia salamu ya Japhet lakini hakumjibu kwa sababu hakumjua, alimuona kama mpiga kelele tu, taratibu alipiga hatua kuelekea kwenye gari yake.
“Dada nijibu basi, niambie tatizo nini? Mbona unalia? Kwani Edward amekufanya nini? Japhe alizungumza akiwa anamfuata dada wa saloon. Dada baada ya kusikia Japhet kamtaja Edward, alisimama na kumgeukia
“Kumbe unamfahamu Edward?”
“Yeah, ninamfahamu. Ni mume wa Leonia. Hata wewe ninakufahamu, ni mchepuko wake. Kuna siku niliwaona pale Wadudu bar, kwahiyo nawafahamu vizuri”
“Aisee! Kumbe umekuwa ukitufuatilia” Dada wa saloon aliuliza akiwa anashangaa
“Ndiyo nimekuwa nikiwafuatilia! Leonia alinipa kazi ya kumtafuta mtu anayemuibia mumewe”
“Unasemaje? Kwahiyo ukitoka hapa utaenda kumwambia Leonia kuwa mimi natoka na mumewe?”
“Hapana sitomwambia, ila kwa sharti moja tu”
“Sharti gani?”
“Kama utaniambia kwanini ulikuwa unalia”
“Okay nitakuambia.. Mimi na Edward sio wapenzi, ila tulishawahi kusex mara mbili. Tulisex kwa bahati mbaya tu”
“Bahati mbaya kivipi?”
“Ilikuwa ni siku ambayo Edward aligombana na mkewe, nami niligombana na mume wangu, kwahiyo tulisex ili kupunguza hasira. Baada ya hapo tuliachana”
“Sasa mbona leo mmekuja hapa lodge? Mmekuja kufanya nini? Na kwanini mmeachana kiugomvi ugomvi?”
“Baada ya kusex na Edward, ghafla nilitokea kumpenda, lakini sio kumpenda kimahusiano, bali kingono tu. Leo nilimfuata kazini kwake, nilimpa lift nikimdanganya nataka kumpeleka nyumbani kwake, lakini badala ya kumpeleka kwake nilimleta hapa kisha nilimshawishi tufanye mapenzi, amekataa, nilimlazimisha lakini alinisukuma na kuondoka, na ndio maana nilikuwa nalia”
“Duh! Kwahiyo kilio chote hicho ni kwa sababu amekataa kusex na wewe?”
“Ndiyo”
“Dada hebu kuwa siriazi basi.. Umempendea nini yule? Mbona mtu mwenyewe ni legelege sana?”
“Legelege Edward?”
“Ndiyo, mzembemzembe sana, kwanza sio mtu wa madem. Hata kule kazini madem wengi anawakimbia, huwa wanamuita dume suruali, wengine wanamuita bwabwa”
“Ah ah ah! Nadhani hao wanaomdharau hawajawahi kukutana nae. Siku wajichanganye waone moto”
“Una maana gani?”
“Edward anajua sana kufanya mapenzi. Akikukamata maji utaita ndizi. Usione mimi namuhangaikia ukadhani sina akili, nina akili timamu kabisa. Nafanya hivyo kwa sababu najua nini nitapata kutoka kwake. Katika maisha yangu kamwe sijawahi kukojoleshwa kama alivyonikojoza Edward, kamwe sijawahi kutiwa kama alivyonitia Edward.. Aisee yule mtu muone vile vile, hakuna mwanaume wa kumfikia”
“Thubutuu! Sasa nikuambie kitu? Mimi Edward hanifikii” Japhe alianza kujigamba
“Una maana gani?”
“Huyo Edward kwangu cha mtoto. Mimi nikikukamata, utamsahau Edward, utamsahau mumeo, na pia utawasahau wanaume wote duniani, muda wote utanikumbuka mimi tu”
“Ah ah ah! Sio kweli, kamwe huwezi kumzidi Edward. Hata kumfikia tu huwezi”
“Sikiliza dada, mifumo ya Edward yote naijua. Edward anatumia 4-3-3 na 4-4-2, mimi natumia 5-4-1, 5-3-1-1, 4-3-2-1 na 4-4-1-1. Edward ni mzuri kwenye mashambulizi tu, lakini mimi nazuia sana, yaani ukikutana na mimi hutoweza kunimudu, muda wote nitakumudu wewe.. Kwanza ngoja nikuulize swali, Edward amewahi kukunyonya K?”
“Hajawahi”
“Amewahi kukunyonya nyuma?”
“Hajawahi”
“Amewahi kukunyonya G sport na A sport?”
“Ndo vinini hivyo?”
“Ah ah ah! Si unaona sasa, wewe bado sana. Sasa nikuambie kitu?.. Naomba hii nafasi ambayo Edward ameiacha, nipe mimi uli ujionee maajabu. Tena nipo tayari tuingie lodge muda huu ili nikuonyeshe mambo. Vipi upo tayari?”
Hapo ndio patamu sasaa! Dada aliganda akitafakari, akubali au akatae, patamu hapooo!! Gonga like nishushe sehemu ya 70.
KAMA UNA MAONI NITUMIE WHATSAPP 0752031011
Kwa wale mnaotaka machombezo yapo mengi, nicheki whatsapp 0752031011.
#hadithi #simulizi #tamu #stori #story #mapenzi #chombezo #riwaya
👍
❤️
😂
❤
😮
🙏
😢
🔥
👏
💘
208