
Benki ya NBC
May 21, 2025 at 03:25 PM
“Ndugu Wageni Waalikwa,
Leo hii, tunapozindua msimu huu mpya, tunathibitisha kuwa NBC Dodoma Marathon ambayo ilianzishwa mwaka 2020 kwa lengo kuu la kusaidia sekta ya afya, hususan mapambano dhidi ya saratani ya shingo ya kizazi, sasa ni zaidi ya mbio, ni tukio la kitaifa.” - amesema Bw. Rayson Foya, Mkurugenzi wetu wa Fedha.

👍
❤️
🙏
😂
10