
Benki ya NBC
May 21, 2025 at 05:21 PM
“Tuliona tuna kila sababu ya kushiriki kwenye NBC Dodoma Marathon na hutukusita tulivyojua malengo ya mbio kwenye jamii hususani katika kuboresha afya ya mama na mtoto na kupambana na Saratani ya Mlango wa Kizazi - amesema Eng. Hersi Said, Mkurugenzi wa Uwekezaji, Makampuni ya GSM.

👍
❤️
🙏
❤
🌝
🔥
😂
😮
🥰
21