Benki ya NBC

Benki ya NBC

159.2K subscribers

Verified Channel
Benki ya NBC
Benki ya NBC
May 24, 2025 at 06:07 PM
Tumezindua Rasmi NBC Essay Writing na Business Idea Competition! Leo tumefungua rasmi pazia la NBC Essay Writing na Business Idea Competition, tukilenga kuwawezesha zaidi ya wanafunzi milioni moja wa shule za sekondari nchini. Tukiwa na ushirikiano wa Wizara ya Elimu na TAMISEMI, tunajivunia kuendeleza ubunifu, elimu ya fedha, na ujasiriamali wa vitendo miongoni mwa vijana wetu. Mshindi wa jumla atajishindia TZS milioni 10, huku zawadi nyingine zikiwemo laptops, simu za mkononi, na vitabu. Zaidi ya hayo, washiriki bora watajiunga na NBC Student Mentorship Club, mpango mahususi wa kulea viongozi na wajasiriamali wa baadae.
Image from Benki ya NBC: Tumezindua Rasmi NBC Essay Writing na Business Idea Competition!  Leo ...
❤️ 👍 🇹🇿 🫀 🍻 🙏 17

Comments