Benki ya NBC

Benki ya NBC

159.2K subscribers

Verified Channel
Benki ya NBC
Benki ya NBC
June 10, 2025 at 06:44 AM
"Usajili umefunguliwa, ukitembelea events.nbc.co.tz utakata tiketi yako itakayo kuwezesha kushiriki NBC Dodoma Marathon tarehe 27.07.2025, iliyoandaliwa kwa kuzingatia viwango vya ubora katika nyanja za afya, usalama na burudani." amesema Bw. Elibariki Masuke, Mkurugenzi wetu wa Wateja wadogo na Binafsi.
Image from Benki ya NBC: "Usajili umefunguliwa, ukitembelea events.nbc.co.tz utakata tiketi yak...
🇹🇿 🙏 5

Comments