Swahili Times

Swahili Times

780.0K subscribers

Verified Channel
Swahili Times
Swahili Times
June 16, 2025 at 03:24 PM
"Kutokana na juhudi ndogo ambazo tumeanza kuzifanya katika kudhibiti magonjwa ya mifugo hapa nchini, hadi sasa mauzo ya nyama nje ya nchi yameongezeka kutoka tani 692 mwaka 2021 hadi tani 14,701 zenye thamani ya Dola milioni 61.4 [TZS bilioni 159.52] mwaka 2023/2024." - Rais Samia Suluhu kwenye Kampeni ya Kitaifa ya Chanjo na Utambuzi wa Mifugo mkoani Simiyu
Image from Swahili Times: "Kutokana na juhudi ndogo ambazo tumeanza kuzifanya katika kudhibiti m...
👍 ❤️ 😂 😢 😮 12

Comments