
Swahili Times
June 16, 2025 at 04:07 PM
Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Hashim Rungwe amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini, KCMC, kutokana na uchovu ulioelezwa kusababishwa na ziara za chama.
Msemaji wa KCMC, Gabriel Chiseo amesema Rungwe kwa sasa anaendelea vizuri na kwamba madaktari wanaendelea na uchunguzi zaidi juu ya afya yake.

😂
👍
🙏
😢
❤️
😮
94