
Swahili Times
June 17, 2025 at 07:06 AM
“Sheria zinazosimamia Mifuko ya Hifadhi ya Jamii zinakataza makato yoyote ikiwemo kodi katika malipo ya mafao ya wastaafu. Hata hivyo, pale inapobainika kuwa mstaafu ana deni la mkopo kutoka serikalini ambalo halijalipwa kikamilifu hadi anapostaafu, sehemu ya mafao yake hukatwa kwa ajili ya kufidia deni la mkopo huo.” - Patrobas Katambi, Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu)

❤️
👍
😂
😢
😮
🙏
26