
Swahili Times
June 17, 2025 at 09:26 AM
Wakili Peter Madeleka ameteuliwa kushika nafasi ya Waziri Kivuli wa Katiba na Sheria wa Chama cha ACT Wazalendo.
Madeleka ni mmoja wa waliokuwa wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambao walijiunga ACT Wazalendo karibuni.

😂
👍
❤️
🙏
18