
Swahili Times
June 18, 2025 at 08:37 AM
"Tunamshukuru Mungu ametupa utajiri mkubwa wa vijana ndani ya Tanzania. Vijana hawa tusipowajengea uwezo, tusipowapa ujuzi uwezo wa serikali kuajiri wote haupo, ndiomaana tumeamua tuwape ujuzi, wawe mafundi waweze kujiajiri na kuajiriwa na sekta binafsi." - Rais Samia Suluhu akiweka Jiwe la Msingi Shule ya Sekondari ya Amali Itilima

😂
❤️
👍
😮
😢
🙏
14