
Swahili Times
June 18, 2025 at 08:39 AM
"Niongee na wazazi wenzangu, serikali tunatumia fedha nyingi kujenga shule za Msingi, Sekondari, za Ufundi na sasa tumeanza kuleta matawi ya vyuo vikuu katika mikoa mbalimbali, tafadhali wapeni vijana fursa ya kutumia fursa hizi za elimu ili wajijenge kwa maisha yao ya baadaye. " - Rais Samia Suluhu akiweka Jiwe la Msingi Shule ya Sekondari ya Amali Itilima

😂
👍
🙏
❤️
😢
22