
Swahili Times
June 18, 2025 at 09:20 AM
Mwigizaji wa Marekani, Tyler Perry ameshitakiwa na mwigizaji Derek Dixon kwa madai ya unyanyasaji wa kijinsia kazini, ambapo amedai fidia ya Dola milioni 260 [TZS bilioni 674.25].
Dixon anadai mara kadhaa Perry alifanya jaribio la kumbaka, na alipotaka kufichua matukio hayo, Perry alimpa ahadi ya kuendelea kumpa nafasi kwenye kipindi cha televisheni.

😂
😢
😮
❤️
👍
17