Swahili Times

Swahili Times

780.0K subscribers

Verified Channel
Swahili Times
Swahili Times
June 18, 2025 at 09:46 AM
Rais Samia Suluhu Hassan leo Juni 18, 2025 ameweka jiwe la msingi katika ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Amali ya Mwamapalala, iliyoko Wilaya ya Itilima, mkoani Simiyu. Rais Samia ameweka jiwe hilo la msingi kwa niaba ya shule zote 103 za Sekondari za Amali zinazojengwa nchi nzima.
Image from Swahili Times: Rais Samia Suluhu Hassan leo Juni 18, 2025 ameweka jiwe la msingi kati...
👍 😂 😮 🙏 ❤️ 😢 19

Comments