Swahili Times

Swahili Times

780.0K subscribers

Verified Channel
Swahili Times
Swahili Times
June 18, 2025 at 02:05 PM
Katibu Tawala wa Mkoa wa Kilimanjaro, Yusufu Nzowa amesema amepokea barua inayoelekeza Madiwani wote wa Mkoa huo kurejesha vitendea kazi vyote, vikiwemo vishikwambi. Nzowa amesema Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa, ameelekeza hilo katika waraka rasmi wa kuvunjwa mabaraza ya madiwani katika halmashauri zote nchini ifikapo Juni 20 mwaka huu.
Image from Swahili Times: Katibu Tawala wa Mkoa wa Kilimanjaro, Yusufu Nzowa amesema amepokea ba...
😂 👍 ❤️ 😮 😢 🙏 27

Comments