Swahili Times
June 18, 2025 at 04:14 PM
Jeshi la Polisi limesema linamshikilia Sheikh Zuberi Said Nkokoo (53) mwalimu wa dini na kiongozi katika taasisi ya Islam Foundation mkoani Singida baada ya kutengeneza tukio la uongo la kutekwa ili kukimbia madeni aliyokuwa akidaiwa.
Taarifa ya polisi imesema Sheikh huyo anadaiwa shilingi milioni 521, na kwamba atafikishwa mahakamani baada ya taratibu kukamilika.
😂
😮
🙏
👍
😢
❤️
97