
Swahili Times
June 19, 2025 at 09:03 AM
Mwaka 1913, Serikali ya Afrika Kusini ilipitisha Sheria ya Ardhi ya Waafrika ambayo iliwazuia watu weusi kumiliki ardhi isipokuwa katika maeneo maalum yaliyotengwa ambayo yalikuwa chini ya asilimia 10 ya ardhi yote ya nchi.
Sheria hii iliendelea kutumika hadi mfumo wa ubaguzi wa rangi ulipofutwa miaka ya 1990.

👍
😂
😢
😮
5