Swahili Times

Swahili Times

780.0K subscribers

Verified Channel
Swahili Times
Swahili Times
June 19, 2025 at 09:39 AM
Mamlaka ya Chakula na Dawa ya Marekani (FDA) imeidhinisha dawa mpya iitwayo Lenacapavir ya kuzuia maambukizi ya Virusi vya UKIMWI, ambayo imeelezwa kupunguza hatari ya maambukizi kwa asilimia 99.9. Dawa hiyo inayotolewa kwa sindano mara mbili kwa mwaka, itazinduliwa karibuni nchini humo na kusambazwa katika mataifa mengine.
Image from Swahili Times: Mamlaka ya Chakula na Dawa ya Marekani (FDA) imeidhinisha dawa mpya ii...
😂 👍 ❤️ 🙏 😢 40

Comments