Swahili Times

Swahili Times

780.0K subscribers

Verified Channel
Swahili Times
Swahili Times
June 19, 2025 at 12:57 PM
Daktari wa Yanga SC amesema mchezaji Prince Dube amepata majeraha ya nyama za paja wakati wa mchezo dhidi ya Tanzania Prisons, na sasa anaendelea na matibabu ya awali. Daktari amesema Dube anaendelea vizuri na anaamini ataweza kuimarika kwa ajili ya michezo ijayo.
Image from Swahili Times: Daktari wa Yanga SC amesema mchezaji Prince Dube amepata majeraha ya n...
👍 🙏 ❤️ 😢 😂 17

Comments