
Swahili Times
June 19, 2025 at 03:40 PM
Rais Samia Suluhu Hassan amezindua Daraja la JP Magufuli (Kigongo-Busisi) lenye urefu wa km 3.0 pamoja na barabara unganishi zenye urefu wa km 1.66 katika eneo la Kigongo, Misungwi mkoani Mwanza.
Daraja hilo ambalo ni sehemu ya barabara ya Usagara-Sengerema-Geita ni sehemu ya barabara kuu inayoanzia Sirari hadi Mtukula, na ujenzi wake ulianza rasmi mwezi Februari 2020.

👍
❤️
🙏
😂
😢
22