
Afisi Ya Makamu Wa Pili Wa Rais
June 14, 2025 at 10:27 AM
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla akishuhudia utiaji wa saini hati ya makubaliano ya kufanya kazi kwa kushirikiana kati ya Taasisi ya wasanifu, wahandisi na wakadiriaji majengo Zanzibar na Taasisi ya Warka Water
kwenye Mkutano wa Pili wa Taasisi ya (IAESZ) uliofanyika katika Ukumbi wa Hotel Verde Zanzibar.
📍Hotel Verde - Zanzibar
🗓 14.06.2025