
Afisi Ya Makamu Wa Pili Wa Rais
June 14, 2025 at 03:30 PM
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Hemed Suleiman Abdulla akizungumza na Viongozi wa Halmashauri Kuu ya Wilaya, Kamati za Siasa za Jimbo na Wadi ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya kuimarisha chama ndani ya Wilaya ya Kaskazini "B", Mkoa wa kaskazini Unguja katika Tawi la CCM Mahonda.
📍Mahonda - Zanzibar
🗓 14.05.2025