Afisi Ya Makamu Wa Pili Wa Rais
Afisi Ya Makamu Wa Pili Wa Rais
June 15, 2025 at 03:36 PM
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akizungumza na Viongozi wa Halmashauri Kuu ya Wilaya, Kamati za Siasa za Jimbo na Wadi ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya kuimarisha chama ndani ya Wilaya ya Dimani Mkoa wa Magharibi kichama katika Ukumbi wa Idakham Hall Chukwani Zanzibar. 📍Chukwani - Zanzibar 🗓 15.06.2025

Comments