Afisi Ya Makamu Wa Pili Wa Rais
June 16, 2025 at 03:22 PM
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Hemed Suleiman Abdulla akizungumza na Viongozi wa Halmashauri Kuu ya Wilaya, Kamati za Siasa za Jimbo na Wadi ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya kuimarisha chama ndani ya Wilaya ya Amani, Mkoa wa Mjini kichama katika Ukumbi wa CCM Amani Mkoa.
📍Amani Mkoa - Zanzibar
🗓 16.06.2025