Afisi Ya Makamu Wa Pili Wa Rais
June 17, 2025 at 03:00 PM
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Alhajj Hemed Suleiman Abdulla amejumuika na wanafamilia, ndugu jamaa na marafiki katika swala na duwa ya kumuombea Marehemu Juma Yahya Juma, liyoswaliwa katika Msikiti wa Kigomeni na kuzikwa Mtoni Wilaya ya Magharib "A" Unguja.
Inna lilah wainna ilayhi rajiun.
📍Mtoni - Zanzibar
🗓 17.06.2025