Afisi Ya Makamu Wa Pili Wa Rais
Afisi Ya Makamu Wa Pili Wa Rais
June 19, 2025 at 11:33 AM
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla akiakhirisha Mkutano wa Kumi na Tisa(19) wa Baraza la kumi (10) la Wawakilishi, katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar. 📍Chukwani - Zanzibar 🗓 19.06.2025

Comments