
Afisi Ya Makamu Wa Pili Wa Rais
June 19, 2025 at 03:58 PM
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akifungua maonesho ya kwanza ya wiki ya ardhi na makaazi yanayofanyika katika uwanja wa New Amaani Complex Zanzibar.
📍Amani Complex - Zanzibar
🗓 19.06.2025