
START TEK
June 13, 2025 at 12:54 PM
📄✨ Get CamScanner FREE for 30 Days!
Unahitaji kutumia CamScanner Premium bila kulipia? Fuata hatua hizi rahisi👇
🔹 Tembelea tovuti hii:
🌐 tempumail.com
Unda temporary mail ya haraka au tumia custom mail yenye domain:
@yomail.edu.pl
🔹 Kisha fungua app ya CamScanner Original (iliyopakuliwa kutoka Playstore).
Nenda kwenye:
Settings ➝ Edu Benefits ➝ Ingiza Email ya .edu
🔹 Tengeneza password → Verify hiyo temp mail → Chagua shule yoyote (hata ya kubahatisha)
✅ Umefanikiwa! Sasa una CamScanner Premium kwa mwezi mzima bila malipo.
🚀 #freecontent by START TEK
👉 Tunakupa tech hacks, tools na mbinu za kuokoa gharama kila siku!
