
START TEK
June 13, 2025 at 07:21 PM
⚠️ Gharama:
• Inahitaji bajeti, ila inalipa kulingana na matumizi.
📌 Mifano:
– Canva Pro
– ChatGPT Plus
– Grammarly Premium
– Jasper AI
– Adobe Firefly Pro
🎯 Hitimisho:
Free tools ni nzuri kwa majaribio & personal use.
Paid tools zinaongeza tija, ubora na matokeo ya kitaalamu.
🔥 #techtips by START TEK
👉 Endelea kujifunza na kuboresha kazi zako kwa kutumia nguvu ya AI!
📲 Tufuate kwa content zaidi za tech na digital tools.