
START TEK
June 14, 2025 at 07:32 PM
📶 BOOST YOUR NETWORK – Hakuna App, Hakuna Gharama!
Boresha mtandao wa simu yako kwa kutumia hidden settings za Android.
🔧 HATUA ZA KUFUATA:
》Fungua Dialer (sehemu ya kupiga simu).
》Andika: **#*#4636#*#*
》Gonga Phone Information.
》Tafuta sehemu ya Set preferred network type.
》Chagua: "LTE only" au "LTE/WCDMA"
✅ Hii inalazimisha simu kutumia 4G pekee kwa speed na network stability bora zaidi (hasa kama simu inarudi 3G ovyoovyo).
🧠 Ni njia rahisi na ya haraka ya ku-improve experience yako ya mtandao bila kutumia apps za ziada.
🚀 #techtips by START TEK – Tunakupa maarifa ya kidigitali kwa urahisi!

💡
🔌
2