
START TEK
June 17, 2025 at 09:32 PM
🔐 UNAJUA? Kuna vitu vidogo unavyofanya kila siku vinakufanya kuwa rahisi ku-trackiwa au ku-hackiwa!👇
📌 Hii hapa orodha ya vitu unavyopaswa KUACHA MARA MOJA:
❗ 1. Kusambaza namba yako kiholela
– Unapojiunga na group lolote au kujaza form za ajabu mtandaoni, namba yako huingia mikononi mwa hackers au spammers.
❗ 2. Kuweka Apps za Ajabu Ajabu (Sio kutoka Play Store/App Store)
– Apps nyingi za "Free Calls", "Crack App", nk – huja na spyware inayorekodi simu zako au kuchukua SMS zako bila kujua.
❗ 3. Kutoa Ruhusa Zote Kwa App (Permissions)
– Mfano: App ya flashlight isiyo ya kawaida inakuomba ruhusa ya kusoma messages au kuchukua audio? ⚠️ Kataa!

🔥
1