
START TEK
June 17, 2025 at 09:42 PM
❗ 4. Kufungua Links zisizojulikana kwenye DM
– Link hizi zinaweza kukudukua, kukuibia account au kukupachikia spyware kwenye simu.
❗ 5. Kufanya "Challenge" Bila Kuelewa Madhara
– Challenges nyingine hutengenezwa kimaksudi kukusanya data au video ambazo zinaweza kutumika kukudhalilisha baadaye.
❗ 6. Kutopangilia Privacy Settings
– Ukiwa na public profile, kila mtu anaweza kuona kila kitu, hata wale wasio na nia njema.
❗ 7. Kujiamini Kupita Kiasi na Kuamini Watu Usiofahamu
– Siyo kila anayekutumia DM ni rafiki – wengine ni hackers, scammers au sexual predators.
🧠 USHAURI WA START TEK
✔️ Tumia akili, siyo hisia
✔️ Wezesha 2FA (Two-factor Authentication)
✔️ Angalia mara kwa mara privacy settings zako
✔️ Usiweke kila kitu mtandaoni – "Not everything belongs online!"
🚀 Baki salama kimitandao. Elimu ni kinga!
💡DigitalProtection 🔎StartTek
🔥
1