
START TEK
June 18, 2025 at 12:40 PM
🔐 JINSI YA KUONDOA UFUATILIAJI WA SIMU
Dial ##002# kwenye simu yako ili kufuta aina zote za call forwarding/tracking ambazo zinaweza kuwa zimewezeshwa bila kujua.
📌 Kwa elimu tu – linda faragha yako!
#starttek #techtips #digitalsafety
