
START TEK
June 19, 2025 at 01:46 PM
💻 KWA LAPTOP
✅ Angalia processor (Intel/AMD) & generation (i3/i5/i7...)
✅ RAM na Storage (HDD au SSD – SSD ni bora zaidi kwa speed)
✅ Fungua laptop – test keyboard, touchpad, na ports zote (USB, HDMI, audio)
✅ Battery health – inabeba chaji vizuri?
✅ Install software ndogo kama browser au Word – test speed
✅ Hakikisha screen haina dot, mistari au giza sehemu yoyote
✅ Test WiFi, Bluetooth na camera
🖥️ KWA DESKTOP COMPUTER
✅ Angalia full set – CPU, monitor, mouse, keyboard & cables
✅ Fungua case (kwa ruhusa ya muuzaji) – angalia motherboard, RAM slots, power supply
✅ Hakikisha power supply inafanya kazi vizuri
✅ Test monitor – check display resolution & brightness
✅ Jaribu software kama browser au MS Word – je, inafunguka kwa haraka?
🧠 USHAURI WA KITAA
📌 Nunua kutoka kwa wauzaji wanaoaminika
📌 Omba risiti au uthibitisho wa manunuzi
📌 Jaribu kifaa kwa zaidi ya dakika 15 kabla ya kulipa
💬 Elimu ndogo kabla ya manunuzi inaweza kukuokoa kutokana na hasara kubwa!
👉 Fuata START TEK kwa tips zaidi za tech, gadgets na maisha ya kidigitali 📱💻
📌StartTEK 👑TechTips
🔎NunuaKwaUhakika
🕵️♂️DigitalLearning
🔔SimuLaptopComputer