
MSHIKAMANO (اعتصام)FOUNDATION CENTER
June 16, 2025 at 05:57 AM
🩸🩸 *UPDATES*🩸🩸
*ASSALAMU ALAYKUM WARAHMATULLAH WABARAKATUH.*
🕋 NDUGU ZANGU KATIKA IIMAN PROJECT YETU YA UJENZI WA MSIKITI KULE MISUNGWI ALHAMDULILLAH INAENDELEA LICHA YA NGUVU KUWA KIDOGO SANA KIASI CHA KUMALIZA KWA WAKATI HATUA INAYOKUWA IMEPANGWA.
🕌 AWAMU HII TUNA UFUNGAJI WA MKANDA NA KUMWAGA NGUZO ZOTE ZA MSIKITI ILI KUONGEZA UIMARA WA TOFALI ZITAKAZOJENGWA KWA AWAMU YA PILI SABABU YA UPEPO ULIOPO KATIKA ENEO HILO.
🕌 KIWANGO KINACHOHITAJIKA KATIKA AWAMU HII NI SH 2,986,000/= NA MPAKA SASA TUNA SH 1,674,500/= BADO UPUNGUFU WA SH 1,274,500/=
🕌 *NJOONI VIPENZI VYA ALLAH TUIANDAE SADAQA YENYE KUENDELEA NYAKATI ZOTE*
🕋 *NJOONI TUWATOLEE VIPENZI VYETU WALIOHAI AMA WALIOTANGULIA MBELE YA HAQQ*
*SADAQA YAKO ULINZI WAKO*
*16TH JUNE 2025*