
๐ข๐ง๐๐จ๐ ๐๐ก ๐๐๐๐ง
June 13, 2025 at 11:42 AM
๐ MADA: Kwa Nini Mahusiano ya Siku Hizi Hayadumu? Tunapenda Vibaya au Tunapenda Watu Wasio Sahihi?
*Vijana wengi leo wanaingia kwenye mahusiano lakini baada ya muda mfupi, mapenzi yanayeyuka shwaaaaaaah kama barafu.*
*Wengine utawasikia wanasema tunapenda haraka, wengine wanasema tunapenda kwa macho.*
*Lakini je, tatizo ni namna tunavyopenda au wale tunaowapenda?*
Join *OTHUMAN FANS* https://chat.whatsapp.com/D0ekN0VYTz0I0a5egHpdqv
