๐—ข๐—ง๐—›๐—จ๐— ๐—”๐—ก ๐—™๐—”๐—–๐—ง
๐—ข๐—ง๐—›๐—จ๐— ๐—”๐—ก ๐—™๐—”๐—–๐—ง
June 13, 2025 at 02:39 PM
Kuna hii story ya Binti alimpenda kijana mmoja kwa moyo wake wote. Alikuwa tayari kujitoa, kumjali, na hata kumpa kidogo alichokuwa nacho ili kijana huyo asikose kitu. Huyu binti hakuwahi kumdai sana kijana huyo pesa wala vitu vya thamani kwake, mapenzi tu yalitosha. Lakini kadri muda ulivyopita, kijana alianza kubadilika. Simu hazipokelewi, ujumbe haujibiwi, na kila mara alikuwa na visingizio. Mwisho wa yote, kijana alimwambia huyu binti kwamba *Sijisikii tena kama awali, nataka muda.* Baada ya wiki mbili, huyu binti aliona picha za kijana huyo na msichana mwingine kwenye mitandao ya kijamii walikuwa kwenye hoteli ya kifahari, wakiwa wanakula Bata๐Ÿ˜‚, wakicheka kwa furaha. Kilichomuumiza zaidi Binti huyu. Ni kwa sababu alijitoa kwa mtu aliyekuwa na mipango tofauti na yeye. Sasa hii imenifanya niwaletee mada hii muijadili kutokana na hii story ya huyu binti *Kwanini mahusiano mengi siku hizi hayaendi mbali?* *Tunafanya kosa gani kama kizazi kuhusu mapenzi na mahusiano?* KARIBU SANA KATIKA *MADA* Hii MADA inaendeshwa katika group letu la *OTHUMAN FANS* Kama hujajiunga Bonyeza Link kwenye Post iliyopita kujiunga.
Image from ๐—ข๐—ง๐—›๐—จ๐— ๐—”๐—ก ๐—™๐—”๐—–๐—ง: Kuna hii story ya Binti alimpenda kijana mmoja kwa moyo wake wote. Ali...
โค๏ธ ๐Ÿ™ 2

Comments