๐ข๐ง๐๐จ๐ ๐๐ก ๐๐๐๐ง
June 16, 2025 at 04:46 AM
Kama unataka kuwa mshangazi we endelea na ratiba Zako Lakini kama Bado unaihisi thamani ndani yako muache Huyu *Mvulana aendelee kukua.* Usimlee ili awe mwanaume.
Subiri utafutwe na mtu ambae yupo tayari kuwa na wewe kukuheshimu na kukupa thamani yako. *Unataka upate matunzo Kwa MVULANA Unachekesha๐คฃ๐คฃ๐คฃ*
https://whatsapp.com/channel/0029VaLtsI46buMBVNc8Q40s