
๐ ๐ฟ ๐๐ต๐ฎ๐ธ๐๐๐ต๐ฎ๐ป๐ด๐ฎ๐๐ฎ ๐๐น๐ถ๐บ๐ ๐ฆ๐ผ๐น๐๐๐ถ๐ผ๐ป๐
June 10, 2025 at 03:36 AM
Naju hili swali kama ifuatavyo
Unapohakiki cheti chako cha kuzaliwa we mzanzibari hakikisha unapewa verification code, hili swala la verification code sio geni kwa watu wa bara ila kwa Wazanzibar linaonekana kua gumu kwasababu ni geni na ndo kwa mara ya kwanza likafanyika
Vivyohivyo kwa wale wenye vyeti vya kifo hakikisha nacho unapohakiki unapewa verification code, huku kwenye kuomba mkopo hakuna kipengele cha ku upload picha au PDF ya cheti, hivyo kama huna verification code hutaweza kuwasilisha taarifa za cheti cha kifo
Nawasihi na nawaambia hakikisha cheti chako kimehakikiwa na unaverificatiin code.
By
Mr chakushangaza
0627 368 679
