
๐ ๐ฟ ๐๐ต๐ฎ๐ธ๐๐๐ต๐ฎ๐ป๐ด๐ฎ๐๐ฎ ๐๐น๐ถ๐บ๐ ๐ฆ๐ผ๐น๐๐๐ถ๐ผ๐ป๐
June 13, 2025 at 04:15 PM
KWA WALIOKOSA MKOPO MWAKA JANA
โ๐ฟ nianze na kukupa pole kisha hongera....Kama ulikosa mkopo na bado ukakomaa kusoma hivyohivyo bila mkopo unastahili heshima kubwa..ni maamuzi magumu mno hayo
โ๐ฟ andaa NIDA yenye majina sawa na cheti chako cha form 4
โ๐ฟuwe na bank account yenye majina sawasawa na yalivyo kwenye cheti chako cha form four
โ๐ฟcontinuous/mliokosa mkopo mwaka jana nyie mtakua watu wa kwanza kabisa kuomba mkopo kwani nyie taarifa zenu rasmi zote mnazi labda tuu kwa uzembe wako ndio usiwe nazo, tofauti na form 6, ambao wanalazimika kusubir matokeo yatoke
โ๐ฟhakiki vyeti vyako vyote na upewe VERIFICATION CODE
Karibu sana inbox kama unaswali
By
Mr Chakushangaza
0627 368 679