
๐ ๐ฟ ๐๐ต๐ฎ๐ธ๐๐๐ต๐ฎ๐ป๐ด๐ฎ๐๐ฎ ๐๐น๐ถ๐บ๐ ๐ฆ๐ผ๐น๐๐๐ถ๐ผ๐ป๐
June 13, 2025 at 04:15 PM
*NAWAKUMBUSHA TUU*
๐Natumai nyote mmeamka salama...
Wageni kabisa wa group letu La *MR CHAKUSHANGAZA ELIMU SOLUTIONS* nawakaribisha sana hapa na niwasihi na kuwapongeza kua mpo mahali salama na hamtajutia kuwepo humu
*Kuhusu maombi ya mkopo*
โ๐ฟ nyote mnatakiwa kuhakiki vyeti vyenu vya kuzaliwa, na mkishahakiki mpatiwe verification code, watu wa bara mbahakiki online RITA, Wazanzibar mnahakiki wilayani kwenye ofisi za wakala wa usajili wa matukio ya kijamii
โ๐ฟ tafuta kadi ya bank na iwe na majina yako kama yalivyo kwenye cheti chako cha form four
โ๐ฟ Tafuta NIDA (watu wa bara na visiwani)
โ๐ฟ tafuta kitambulisho cha mzanzibari (watu wa visiwani tuu)
โ๐ฟ wale mliokosa mkopo mwaka jana, mkiwa mnaomba tena mwaka huu mtaanza process zote upya kama mlibuofanya hapo awali
โ๐ฟ wenye vyeti vya zamani mjitahidi mvibadili online RITA (kwa watu wa bara tuu)
โ๐ฟ Wahitimu wa diploma hakikisha unapata AVN number mapema
ADD MARAFIKI ZAKO AMBAO HAWAPO HUMU, ILI WASIPITWE NA TAARIFA HIZI MUHIMU
wapende na wakali kwa kuwa ADD humu,
_Sharing is caring_
Njoo inbox kwa maswali, nitakujibu vizuri usiogope
By
Mr Chakushangaza
0627 368 679