
๐ ๐ฟ ๐๐ต๐ฎ๐ธ๐๐๐ต๐ฎ๐ป๐ด๐ฎ๐๐ฎ ๐๐น๐ถ๐บ๐ ๐ฆ๐ผ๐น๐๐๐ถ๐ผ๐ป๐
June 13, 2025 at 04:15 PM
*ANDAA VITU HIVI ILI UWEZE KUOMBA MKOPO*
๐ค Hakiki vyeti vyote cha kifo na cha kuzaliwa ,watu wa bara uhakiki unafanyika online RITA, njoo inbox nipe kazi yako nitslaifanya, watu wa Zanzibar uhakiki unafanyika lwa wakala wa matukio ya kijamii hawa ofisi zao zipo wilayani au kwa wale waliopo karibu na mazizini mnaweza kwenda pale, ukifika waambie nataka kuhakiki cheti kwaajili ya kuomba mkopo, ukihakiki cheti hakikisha umepewa verification code na uitunze.
โ๐ฟTafuta kadi ya bank na hakikisha majina ya card hiyo ya bank yafanane na majina yaliyopo kwenye
cheti cha form 4
โ๐ฟ NIDA ni lazima kwenye kuomba mkopo wa HESLB
โ๐ฟ Kitambulisho cha mzanzibari ni lazima pia kwenye kuomba mkopo wa ZHELB
๐ค๐ฟ Kwasasa mkopo wanapewa wanafunzi kuanzia ngazi ya diploma na kuendelea hivyo vijana wangu mnaosoma diploma andaeni hivyo vitu muombe mkopo
๐คWale wahitimu wa diploma hakikisha anayo AVN number, hii ni muhimu sana kwenye kuomba mkopo
๐ฅถWatu wa Bara kama unacheti cha kuzaliwa au cha kifo chazamani tafadhali fanya mchakato wa kupata cheti kipya. Njoo inbox kwa Mr Chakushangaza nikufa yie kazi yako hiyo chap chap
Kwa faida ya wasifahamu
HESLB-hii ni bodi ya mkopo ya tanzania nzima ,inatoa huduma ya mkopo kwa watu wa bara na visiwani
ZHELB-hii ni bodi ya mkopo wa zanzibar, inahudumia watu wa unguja na pemba tuu na nilazima uwe na namba ya kitambulisho cha mzanzibari ndii uombe mkopo huo
๐ฅถ DIRISHA LA MAOMBI YA MKOPO NA MWAKA HUU TUNATARAJI LITAFUNGULIWA MNAMO TAREHE 1 MWEZI WA 6 2025, HIVYO BADO KAMA SIKU 11 HIVI, JITAHIDI SANA KUANDAA VITU MUHIMU
*KAMA KUNA WENZIO HAWAPO HUMU TAFADHALI WA ADD ILI WASIPITWE NA TAARIFA HIZI ADHIMU*
_Karibuni sana inbox kwa maswali_
By
Mr Chakushangaza
0627 368 679