
๐ ๐ฟ ๐๐ต๐ฎ๐ธ๐๐๐ต๐ฎ๐ป๐ด๐ฎ๐๐ฎ ๐๐น๐ถ๐บ๐ ๐ฆ๐ผ๐น๐๐๐ถ๐ผ๐ป๐
June 13, 2025 at 04:15 PM
๐ฅ๐ฅ *VITU VYA VYA KUANDAA KABLA MUDA WA KUOMBA MKOPO HAUJAFIKA*๐ฅ๐ฅ
1) Hakikisha Una cheti cha kuzaliwa ambacho majina yake yanafanana na unayotumia Shuleni,.
2) Hakikisha umeshahakiki hiko Cheti cha kuzaliwa RITA na umepatiwa VERIFICATION CODE ambazo zitatumika kwenye maombi ya mkopo
3) Kama una cheti cha kifo cha mzazi hakikisha Pia unakifanyia Uhakiki RITA na unakuwa na VERIFICATION CODE ambazo utazitumia katika maombi ya mkopo
4) Hakikisha una Kadi ya BENKI(Bank) ambayo inasoma majina yako unayoyatumia Shuleni
5) Hakikisha utakae mtumia kama Mdhamini anakuwa na kimoja kati ya hivi Kitambulisho cha NIDA, Kitambulisho cha kupigia Kura, Passport ya kusafiria, Leseni,
6) Kwa wanafunzi wahitimu wa diploma unatakiwa kua na AVN number, bila AVN huwezi omba mkopo waka kuomba chuo
7) Mzanzibari hakikisha una Kitambulisho cha mzanzibari , au namba
Hivyo ndiyo vitu muhimu mnatakiwa kuandaa mapema kabla Mambo ya mkopo hayajaanza.
ADD WENZIO KWENYE MAGROUP YETU
SHARING IS CARING....SHARE MARA NYINGI UWEZAVYO
By
Mr Chakushangaza
0627 368 679