
๐ ๐ฟ ๐๐ต๐ฎ๐ธ๐๐๐ต๐ฎ๐ป๐ด๐ฎ๐๐ฎ ๐๐น๐ถ๐บ๐ ๐ฆ๐ผ๐น๐๐๐ถ๐ผ๐ป๐
June 14, 2025 at 03:58 AM
Swali: *MIMI FORM SIX NAWEZA KUOMBA MKOPO KESHO 15/06/2025?*
โ๐ฟ *Jibu ni ndio* unaweza kuomba na utafanikiwa kujaza hatua zote za mkopo kasoro kipengele cha education, na kipengele cha education ambacho hakitajazwa ni matokeo ya form six ambayo hayo utalazimika kusubiri hadi results zako za form 6 zitoke ndio umalizie.
Swali: *Mr chakushangaza unamshauri nini form six kuhusu kuomba mkopo saivi kabla ya matokeo?*
Mimi binafsi namshauri form six kua kama anajiamini na alichojibu kwenye mtihani wake wa NECTA form 6 kua atafaulu kwenda chuo (kupata D mbili) , basi aanze komba mkopo hiyo tarehe 15/06/2025.. _yaani aanze kuomba mkopo hata kabla ya matokeo kutoka_ ,ili matokeo yake ya kitoka yeye amalizie kipengele kimoja tuu na kisha kusubmit, aendelee na shughuli nyingine ya kuhangaikia namna ya kupata chuo.
โ๐ฟ *Kwanini nakushauri hivyo?*
Ni hivi baada ya matokeo kutoka muitikio wa kuomba mkopo utakua mkubwa sana yaani zaidi ya watu 80,000 kwa muda mmoja watakua wanaomba mkopo hivyo kuna uwezekano mkubwa system kuyumba na kukufanya uendelee kusubiri siku hadi siku ndio ukamilishe maombi yako ya mkopo hivyo ni vyema ukaanza mapema.
HASARA YA KUOMBA MAPEMA KABLA YA MATOKEO
โ๐ฟukianza kuomba mkopo before matokeo na ikatokea hujafaulu kwenda chuo juhudi zako zote za kuomba mkopo wa bachelor degree zitakua zimeenda bure, na utakua umepoteza pesa zako , badala yake utaanza tena upya kuomba kwa diploma ๐๐๐, choose Wisley
*NANI MWENYE UHAKIKA WAKUOMBA MKOPO kesho 15/06/2025 na akakamilisha kila kitu?*
โ๐ฟwaliokosa mkopo nwaka jana , hao wanaomba mkopo na kila kitu watajaza kwa ufasaha kwasababu taarifa zote wanazo
โ๐ฟform six waliohitimu miaka ya nyuma 2024,2023,2022...nk hawa nao wataomba mkopo fresh tuu
โ๐ฟdiploma graduate ambslao tayari wana AVN number, hao wataomba na kukamilisha kila kitu on time
โ๐ฟ watu wanaoomba mkopo wa diploma hawa wengi ni form 4 graduate mwaka huu na miaka iliyopita nyie mnaomba na kusubmit kila kitu ontime wala msisubiri baadae
MWISHO KABISA nikusihi kabidhi kazi yako kwa jopo la Mr Chakushangaza, sisi admin wa magroup ya *Mr Chakushangaza Elimu Solutions* ni wazoefu sana wa haya mambo ya mkopo,tuna kukaribisha tupatie kazi, sisi na utafanyiwa kazi yako kwa wakati na kwa usahihi
Wasiliana na mimi muda wowote wewenipigie nitapokea an tuma sms nitajibu na ukituma sms tuma hivi
Mambo vipi/habari yako mr?/(salam ni kuhimu)
Kisha kwenye sms hiyohiyo moja unganisha na swali lako mimi nitakijibu
By
Mr Chakushangaza
0627 368 679